Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kuvaa barakoa katika hajj au ´umrah?
Jibu: Wako wanazuoni wenye kuona kuvaa barakoa ni katika mambo yaliyokatazwa katika Ihraam na kwamba ambaye atalazimika kuivaa basi afanye hivo na baadaye atoe fidia ambayo ni ima kulisha masikini sitini ambapo kila mmoja atampa 1,5 kg ya mchele, kuchinja kondoo au kufunga siku tatu.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-لبس-الكمامات-للمرأة-في-الحج-أو-العمرة
- Imechapishwa: 12/06/2022
Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kuvaa barakoa katika hajj au ´umrah?
Jibu: Wako wanazuoni wenye kuona kuvaa barakoa ni katika mambo yaliyokatazwa katika Ihraam na kwamba ambaye atalazimika kuivaa basi afanye hivo na baadaye atoe fidia ambayo ni ima kulisha masikini sitini ambapo kila mmoja atampa 1,5 kg ya mchele, kuchinja kondoo au kufunga siku tatu.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-لبس-الكمامات-للمرأة-في-الحج-أو-العمرة
Imechapishwa: 12/06/2022
https://firqatunnajia.com/barakoa-ni-katika-makatazo-ya-ihraam/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)