Ni lini zinasomwa Adhkaar za jioni na za asubuhi?

Swali: Ni lini tunatakiwa kusoma Adhkaar za jioni na za asubuhi?

Jibu: Kabla ya magharibi na kabla ya jua kuchomoza.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 271
  • Imechapishwa: 04/07/2022