Qaadhiy Anahamisha Usimamizi Kutoka Kwa Mtu Kwenda Kwa Mwingine

Swali: Mwanamke huyu ametalikiwa kwa miaka mingi na anauliza kama mtoto wake wa kiume anaweza kumuozesha kwa sababu baba yangu hataki kuniozesha kwa kuwa anaona haya kwa watu.

Jibu: Nenda mahakamani. Qaadhiy ndiye ambaye atamkabidhi usimamizi yule anayestahiki hilo. Hakuna anayehamisha usimamizi kutoka kwa mtu kwenda kwa mwingine isipokuwa Qaadhiy.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2015