Swali: Nina picha za watoto wangu kwenye simu ya mkononi. Je, inajuzu?

Jibu: Haijuzu kuhifadhi picha kwa ajili ya kumbukumbu au kitu kingine. Inajuzu kuhifadhi picha kwa ajili tu ya dharurah ya maisha yako. Kuhusiana na picha kwa ajili mtu anapenda, sanaa au kumbukumbu haijuzu. Ni wajibu kuziharibu. Usiache picha isipokuwa umeiharibu, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Madjîd (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%2027-%2012-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017