Swali: Leo kuna visa maalum kuhusu historia ya kiislamu na mfano wake na wakati mwingine kunakuwepo na watu wa kihistoria ambao wanawachukua picha kisha wanawarekodi kwa njia ya filamu. Ni picha za mikono.
Jibu: Picha ni haramu isipokuwa zile za dharurah. Allaah amesema:
وَقَدْ فَصَّلَ لَكُم مَّا حَرَّمَ عَلَيْكُمْ إِلَّا مَا اضْطُرِرْتُمْ إِلَيْهِ
“… na ilhali ameshakubainishieni yale Aliyokuharamishieni isipokuwa vile mlivyofikwa na dharura navyo.” (06:119)
Kitu tunacholazimika kufanya kama vile picha mshirika au cheti cha kielimu ambayo huwezi kukipata isipokuwa mpaka uwe na picha. Katika hali hiyo unasamehewa kutokana na dharurah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22034/حكم-تصوير-قصص-التاريخ-الاسلامي-كافلام
- Imechapishwa: 17/10/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)