Swali: Bidhaa zenye picha kama mfano wa nguo na bidha nyinginezo?

Jibu: Zinatakiwa kufutwa na kuondoshwa. Kichwa kinatakiwa kufutwa kwa kitu ili kusionekane kitu hata kama ni kwa kupakwa rangi.

Swali: Wanaweza kuwa wameagiza kwa mfano maelfu kumi ya nguo na hivyo inakuwa ni vigumu kuharibu picha.

Jibu: Wajitahidi. Kinachotakiwa ni kuharibu kichwa peke yake na sio picha yote. Inatosha akiharibu kichwa.

Swali: Akiiharibu picha wateja hawainunui?

Jibu: Asirudi mara nyingine. Pengine akatubu na asirudi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22035/حكم-الصور-التي-في-الملابس-ونحوها
  • Imechapishwa: 17/10/2022