Operesheni ya kurudisha mkono uliyokatwa

Swali: Je, inafaa kufanya operesheni ya kurudisha mkono wa bandia unapokatwa baada ya kuiba?

Jibu: Hapana. Ni vipi utakatwa kisha urudishiwe? Haurudishwi. Allaah amemfedhehesha na nyinyi mnataka kuurudisha?

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 11/08/2024