Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuomba “Ee Mola wangu, kutokana na ninavokudhania vyema, hivyo basi nirehemu na unisamahe?
Jibu: Du´aa hii haikuthithi. Aombe kwa du´aa zilizothibiti katika Qur-aan na Sunnah kwa matamshi yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-11-7.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuomba “Ee Mola wangu, kutokana na ninavokudhania vyema, hivyo basi nirehemu na unisamahe?
Jibu: Du´aa hii haikuthithi. Aombe kwa du´aa zilizothibiti katika Qur-aan na Sunnah kwa matamshi yake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-11-7.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/omba-kwa-duaa-zilizothibiti-%e2%80%82/