Swali: Vipi kusema:
سبحان الله وبحمده
”Allaah ametakasika kutokana na mapungufu na himdi zote njema anastahiki Allaah.”?
Ibn Baaz: Katika Rukuu´ na Sujuud?
Mwanafunzi: Ndio. Lakini kinachotambulika ni kusema:
سبحان ربي العظيم
“Ametakasika Mola wangu aliyetukuka.”
Na akisema:
سبحان الله وبحمده
”Allaah ametakasika kutokana na mapungufu na himdi zote njema anastahiki Allaah.”
Itafaa, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Kwa hivyo inafaa kusema:

Jibu: Hakuna tatizo, lakini kuacha kusema hivo ndio bora zaidi. Anatakiwa kusema mara tatu:
سبحان ربي العظيم
“Ametakasika Mola wangu aliyetukuka.”
Kwa sababu usahihi wa hiyo sentesi ya kwanza ina dosari kwa mujibu wa wanazuoni wa Hadiyth. Cheni zake ni dhaifu. Hata hivyo haidhuru ikiwa mtu atasema hivyo, kwa sababu maana yake imejumuishwa katika msemo wake:
سبحانك اللهم ربنا وبحمدك
”Kutakasika kutokana na mapungufu ni Kwako, ee Allaah Mola wangu, na himdi zote njema ni Zako…. ”
Hiyo imepokelewa katika Hadiyth Swahiyh. Kwa hivyo jambo ni lenye wasaa.
Pia ´Aaishah amesimulia kwa kusema:
”Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akikithirisha kusema katika Rukuu´ na Sujuud:
سبحانك اللهم ربنا وبحمدك، اللهم اغفر لي
”Kutakasika kutokana na mapungufu ni Kwako, ee Allaah Mola wangu, na himdi zote njema ni Zako. Ee Allaah, Nisamehe.”
Hata ameyasimulia katika ”as-Swahiyh” kupitia kwa ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24849/حكم-سبحان-الله-وبحمده-في-الركوع-والسجود
- Imechapishwa: 30/12/2024
Swali: Vipi kusema:
سبحان الله وبحمده
”Allaah ametakasika kutokana na mapungufu na himdi zote njema anastahiki Allaah.”?
Ibn Baaz: Katika Rukuu´ na Sujuud?
Mwanafunzi: Ndio. Lakini kinachotambulika ni kusema:
سبحان ربي العظيم
“Ametakasika Mola wangu aliyetukuka.”
Na akisema:
سبحان الله وبحمده
”Allaah ametakasika kutokana na mapungufu na himdi zote njema anastahiki Allaah.”
Itafaa, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Kwa hivyo inafaa kusema:
سبحان الله وبحمده
”Allaah ametakasika kutokana na mapungufu na himdi zote njema anastahiki Allaah.”?
Jibu: Hakuna tatizo, lakini kuacha kusema hivo ndio bora zaidi. Anatakiwa kusema mara tatu:
سبحان ربي العظيم
“Ametakasika Mola wangu aliyetukuka.”
Kwa sababu usahihi wa hiyo sentesi ya kwanza ina dosari kwa mujibu wa wanazuoni wa Hadiyth. Cheni zake ni dhaifu. Hata hivyo haidhuru ikiwa mtu atasema hivyo, kwa sababu maana yake imejumuishwa katika msemo wake:
سبحانك اللهم ربنا وبحمدك
”Kutakasika kutokana na mapungufu ni Kwako, ee Allaah Mola wangu, na himdi zote njema ni Zako…. ”
Hiyo imepokelewa katika Hadiyth Swahiyh. Kwa hivyo jambo ni lenye wasaa.
Pia ´Aaishah amesimulia kwa kusema:
”Alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akikithirisha kusema katika Rukuu´ na Sujuud:
سبحانك اللهم ربنا وبحمدك، اللهم اغفر لي
”Kutakasika kutokana na mapungufu ni Kwako, ee Allaah Mola wangu, na himdi zote njema ni Zako. Ee Allaah, Nisamehe.”
Hata ameyasimulia katika ”as-Swahiyh” kupitia kwa ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa).
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24849/حكم-سبحان-الله-وبحمده-في-الركوع-والسجود
Imechapishwa: 30/12/2024
https://firqatunnajia.com/nyongeza-inayofaa-katika-rukuu-na-sujuud/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)