2135- Mwanzoni mwa mwezi wa Ramadhaan ni rehema, katikati yake ni msamaha na mwisho wake ni kuachwa huru na Moto.
Ameipokea Ibn Abiyd-Dunyaa katika ”Fadhwlu Ramadhwaan”, al-Khatwiyb katika ”Taariykh Baghdaad” na Ibn ´Asaakir kupitia kwa Abu Hurayrah.
Dhaifu sana.
Tazama “adh-Dhwa´iyfah” (1569).
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Dhwa´iyf al-Jaami´ as-Swaghiyr ((2135))
- Imechapishwa: 15/05/2020
2135- Mwanzoni mwa mwezi wa Ramadhaan ni rehema, katikati yake ni msamaha na mwisho wake ni kuachwa huru na Moto.
Ameipokea Ibn Abiyd-Dunyaa katika ”Fadhwlu Ramadhwaan”, al-Khatwiyb katika ”Taariykh Baghdaad” na Ibn ´Asaakir kupitia kwa Abu Hurayrah.
Dhaifu sana.
Tazama “adh-Dhwa´iyfah” (1569).
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Dhwa´iyf al-Jaami´ as-Swaghiyr ((2135))
Imechapishwa: 15/05/2020
https://firqatunnajia.com/nyonge-sana-hadiyth-mwanzoni-mwa-mwezi-wa-ramadhaan-ni-rehema/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)