579- Mkifunga basi tumieni Siwaak nyakati za asubuhi na msitumie nyakati za jioni. Hakuna mfungaji yeyote ambaye midomo yake inakuwa mikavu wakati wa jioni isipokuwa atakuwa na nuru kati ya macho yake siku ya Qiyaamah.”
Ameipokea at-Twabaraaniy na ad-Daaraqutwniy kupitia kwa Khabbaab.
Dhaifu.
Tazama ”adh-Dhwa´iyfah” (401).
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Dhwa´iyf al-Jaami´ as-Swaghiyr (579)
- Imechapishwa: 15/05/2020
579- Mkifunga basi tumieni Siwaak nyakati za asubuhi na msitumie nyakati za jioni. Hakuna mfungaji yeyote ambaye midomo yake inakuwa mikavu wakati wa jioni isipokuwa atakuwa na nuru kati ya macho yake siku ya Qiyaamah.”
Ameipokea at-Twabaraaniy na ad-Daaraqutwniy kupitia kwa Khabbaab.
Dhaifu.
Tazama ”adh-Dhwa´iyfah” (401).
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Dhwa´iyf al-Jaami´ as-Swaghiyr (579)
Imechapishwa: 15/05/2020
https://firqatunnajia.com/udhaifu-wa-hadiyth-mkifunga-basi-tumieni-siwaak-nyakati-za-asubuhi/