Swali: Vipi inatakiwa kuwa msimamo wa mtu kwa wanachuoni wanapokosea?

Jibu. Wazindue juu ya kosa lao. Lakini nyinyi mmejuaje kuwa wamekosea? Nyinyi mmejuaje kuwa wamekosea ilihali ni wanachuoni wa Sunnah?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017