Swali: Talaka ya mtu mwenye wasiwasi inapita?
Jibu: Talaka ya mtu mwenye wasiwasi aende kwa Muftiy au Qaadhiy. Masuala ya talaka ni lazima yathibitishwe na yahakikishwe. Hili linakuwa kwa kuhudhuria mtalikiwa kwa Muftiy au Qaadhiy.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Talaka ya mtu mwenye wasiwasi inapita?
Jibu: Talaka ya mtu mwenye wasiwasi aende kwa Muftiy au Qaadhiy. Masuala ya talaka ni lazima yathibitishwe na yahakikishwe. Hili linakuwa kwa kuhudhuria mtalikiwa kwa Muftiy au Qaadhiy.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/talaka-ya-mwenye-wasiwasi-inapita/