Swali: Ni ipi hukumu ya Anaashiyd kwa kuzingatia kwamba baadhi wamezifanya kuwa ni katika njia za ulinganizi?

Jibu: Sio katika njia za ulinganizi. Tumezizungumzia katika kanda iliyotangulia.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 330
  • Imechapishwa: 10/01/2025