Swali: Je, ni lazima kwa mwanamke kufunika nyayo zake wakati amesujudu ndani ya swalah?

Jibu: Ndio. Anatakiwa kujifunika. Mwanamke mwili wake wote ni uchi ndani ya swalah; isipokuwa ndani ya swalah ikiwa hakuna mbele yake wanamme wasiokuwa Mahaarim. Ikiwa mbele yake kuna wanaume wa kando naye anatakuwa kufunika uso wake pia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
  • Imechapishwa: 28/09/2023