32. Walikuwa wangapi kutoka katika Aws na kutoka katika Khazraj?

Swali 32: Walikuwa wangapi kutoka katika Aws na kutoka katika Khazraj?

Jibu: Katika Aws walikuwa wanamme kumi na moja, miongoni mwao wakuu watatu, na katika Khazraj walikuwa sitini na mbili, miongoni mwao wakuu tisa. Kiapo hicho cha utii kilihudhuriwa na al-´Abbaas bin ´Abdil-Muttwalib kwa sababu ya kutaka kuhakikisha juu ya mpwa wake. Baada ya hapo akaidhinisha kuhajiri kwenda Madiynah.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 103
  • Imechapishwa: 28/09/2023