Swali: Je, inafaa kula nyama ya nungunungu?
Jibu: Nyama ya nungunungu inachukiza na inajumuishwa katika wale wanyama wanaochukiza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
- Imechapishwa: 12/10/2023