Swali: Je, inafaa kwa mtu kujipulizia manukato yanayolewesha?

Jibu: Ikithibiti kuwa yanalewesha, yanazingatiwa kuwa ni pombe. Katika hali hiyo haitofaa kujipulizia nayo. Bali ni wajibu kuyamwaga. Hapo ni pale ambapo imethibiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 12/10/2023