Nisujudu mimi asiposujudu msomaji?

Swali: Asiposujudu sujuud ya kisomo yule msomaji asujudu msikilizaji?

Jibu: Hapana. Asisujudu msikilizaji isipokuwa pale ataposujudu msomaji, kwa sababu ni mwenye kumfuata.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 20/07/2024