Nini unachofaidika ukishajua?

Swali: Ni maoni yepi sahihi zaidi kuhusu tofauti ya miaka kati ya ´Abdullaah bin ´Amr na mtoto wake?

Jibu: Ukishajua faida iko wapi? Kilichotangaa ni kwamba baina yao kuna miaka kumi na moja au kumi na mbili. ´Amr alioa akiwa mdogo. Baina yake yeye na mtoto wake ´Abdullaah ima kuna miaka kumi na moja au kumi na mbili. Haya ndio tuliyosikia na yaliyotufikia, ingawa faida ya hayo ni kidogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24269/ما-فرق-العمر-بين-عبدالله-بن-عمرو-ووالده
  • Imechapishwa: 21/09/2024