Swali: Je, mtu afunge jumatatu peke yake ya kila wiki?

Jibu: Hapana vibaya. Afunge jumatatu au alkhamisi, au afunge zote mbili. Yote ni kheri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24270/حكم-صيام-الاثنين-فقط-من-كل-اسبوع
  • Imechapishwa: 21/09/2024