Swali: Baadhi ya waandishi huanza visa kwa kuandika: “Nimeona usingizini kana kwamba ni kadhaa na kadhaa” kidha ndio anaanza kusimulia kisa.

Jibu: Kinachonidhihirikia ni kwamba haijuzu. Ni miongoni mwa uwongo wa haramu. Uwongo huo sio katika zile aina tatu zinazofaa.

Swali: Kwa hiyo inaingia katika Hadiyth ya Ibn ´Abbaas?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23390/حكم-بدء-بعض-القصص-بقول-رايت-في-المنام
  • Imechapishwa: 11/01/2024