Kupeana mkono na wote katika kikao?

Swali: Je, ni lazima kwa mwenye kuingia katika kikao kupeana mkono na mmoja baada ya mmoja?

Jibu: Hapana, hapana. Inatosha akitoa salamu na kukaa pale kinapoishia kikao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23386/هل-يلزم-من-دخل-مجلسا-مصافحة-الجميع
  • Imechapishwa: 11/01/2024