Swali: Mwenye nifasi damu yake ikisita baada ya siku moja au mbili aswali na kufunga?
Jibu: Ndio. Damu yake ikisita katikati ya nifasi kabla ya siku arubaini aoge na kuswali na kufunga. Damu ikirudi kabla ya siku arubaini akae na atimize siku arubaini. Yale [masiku] aliyofunga na kuswali ilihali ni mwenye twahara ni sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-20.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Mwenye nifasi damu yake ikisita baada ya siku moja au mbili aswali na kufunga?
Jibu: Ndio. Damu yake ikisita katikati ya nifasi kabla ya siku arubaini aoge na kuswali na kufunga. Damu ikirudi kabla ya siku arubaini akae na atimize siku arubaini. Yale [masiku] aliyofunga na kuswali ilihali ni mwenye twahara ni sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-20.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/nifasi-yenye-kukatika-baada-ya-siku-mbili/