Nia kwa ajili ya kupata fadhilah za hatua kwenda msikitini

Swali: Ni lazima mtu ahudhurishe nia kwa ajili ya zile hatua anazopiga kwenda msikitini?

Jibu: Inatosha muda wa kuwa amenuia kwenda kuswali. Midhali anaenda msikitini kwa nia ya kuswali, hii ndio nia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22512/هل-تلزم-النية-لحصول-فضل-الخطى-للمسجد
  • Imechapishwa: 17/06/2023