Swali: Ni lini inakuwa saa ya kwanza siku ya ijumaa?

Jibu: Maoni yaliyo karibu zaidi na usawa ni baada ya kuchomoza jua. Baada ya kuinuka jua. Imesuniwa kwa mtu kukaa msikitini mpaka liinuke jua. Kwa hivyo maoni yaliyo karibu zaidi ni baada ya kuchomoza na kuinuka jua.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22515/متى-تكون-الساعة-الاولى-يوم-الجمعة
  • Imechapishwa: 17/06/2023