Hakuna anayechunga swalah isipokuwa muumini

Swali: Je, mtu anashuhudiwa kuwa ni mwema kwa kuitembelea kwake misikiti?

Jibu: Kama ilivyopokelewa katika Hadiyth hii ijapo ila unyonge. Lakini dalili zenye kuenea zinashuhudia hivo. Hapana shaka kuwa mwanamme ambaye anachunga swalah ni miongoni mwa watu bora na anashuhudiwa kheri. Kwa sababu hakuna anayehifadhi swalah isipokuwa muumini.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22517/هل-اعتياد-المساجد-يشهد-لصاحبه-بالصلاح
  • Imechapishwa: 17/06/2023