Ni wapi umepata pesa na umezitumia vipi

Swali: Je, ni kweli kwamba mwanadamu atahesabiwa siku ya Qiyaamah juu ya nguo alizovaa?

Jibu: Ndio, ataulizwa juu ya mali yake vipi alizipata na vipi alivyozitumiya. Kama ilivyokuja katika Hadiyth tukufu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/1377/%D8%A7%D9%84%D8%AD%D8%B3%D8%A7%D8%A8-%D8%B9%D9%86-%D9%84%D8%A8%D8%B3-%D8%A7%D9%84%D8%AB%D9%88%D8%A8
  • Imechapishwa: 27/06/2020