Ni wajibu kwa wanawake pia kuoga siku ya ijumaa?

Swali 175: Je, amri ya kuoga kwa ajili ya ijumaa inawahusu wanawake pia, kama ilivyokuja katika Hadiyth:

”Ni haki juu ya kila muislamu kuoga kila baada ya siku saba.”?

Jibu: Inawezekana. Huenda pia ikasemwa kuwa jambo hili linahusiana na ijumaa, kama ilivyo katika Hadiyth zilizoeleza hilo waziwazi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 74
  • Imechapishwa: 04/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´