Swali: Kuziba pengo kati ya safu imependekezwa au ni wajibu?

Jibu: Ni wajibu. Ni wajibu kuziba pengo kati ya safu. Hakutakiwi kuwepo pengo kati ya safu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020