Swali: Ni wajibu kwa mtu kumdidimizi nzi kwenye kinywaji kisha anywe au anaweza kukimwaga?
Jibu: Imechukizwa kumtoa nje. Kwa nini aharibu pesa na kinywaji? Haijuzu kufanya hivi. Hii ni dalili yenye kuonesha kuwa anaitilia shaka Hadiyth. Ni jambo lisilofaa. Sio lazima anywe yeye. Akiache watakunywa wengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni wajibu kwa mtu kumdidimizi nzi kwenye kinywaji kisha anywe au anaweza kukimwaga?
Jibu: Imechukizwa kumtoa nje. Kwa nini aharibu pesa na kinywaji? Haijuzu kufanya hivi. Hii ni dalili yenye kuonesha kuwa anaitilia shaka Hadiyth. Ni jambo lisilofaa. Sio lazima anywe yeye. Akiache watakunywa wengine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kumdidimiza-nzi-ndani-ya-kinywaji-kisha-anywe/