Kuswali na nguo yenye damu ya nyama

Swali: Inajuzu kuswali na nguo ambayo imepatwa na damu ya mnyama aliyechinjwa?

Jibu: Ndio. Damu ya nyama haina neno. Ni safi. Mtu anaweza kuswali na nguo hizo, hazina neno. Zinaoshwa kwa ajili ya usafi peke yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020