Ni wajibu kutukana sikukuu za makafiri, kutahadharisha juu yazo, tusiziridhie na tuwafunze ndugu zetu wajinga wapumbavu ya kwamba haijuzu kushirikiana na makafiri katika sikukuu zao. Kuridhia kufuru kunakhofiwa kumwingiza yule mwenye kufanya hivo ndani ya kufuru. Je, hivi kweli wewe unaridhia kufanywe sherehe za kufuru na wewe ukashirikiana nazo? Hakuna muislamu yeyote anayeridhia hili. Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah), ambaye ni mwanafunzi kigogo wa Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah, amesema:
“Yule mwenye kushirikiana na watu hawa katika sikukuu zao, akawapongeza kwazo, ikiwa hakufanya kufuru, basi angalau kwa uchache amefanya tendo la haramu. Hili halina shaka yoyote.”
Amesema kweli (Rahimahu Allaah). Kwa ajili hiyo ni wajibu kwetu kuwatahadharisha ndugu zetu waislamu kushirikiana na makafiri katika sikukuu zao. Kwa sababu kushirikiana nao katika sikukuu zao, kuwapongeza kwazo, kwa mfano kusema “Sikukuu njem!”, “Allaah akupongezeni kwa sikukuu!” na mfano wa maneno kama hayo, hakuna shaka yoyote juu ya kwamba ni kuridhia desturi za kufuru – tunaomba kinga kwa Allaah.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/356-357)
- Imechapishwa: 08/01/2025
Ni wajibu kutukana sikukuu za makafiri, kutahadharisha juu yazo, tusiziridhie na tuwafunze ndugu zetu wajinga wapumbavu ya kwamba haijuzu kushirikiana na makafiri katika sikukuu zao. Kuridhia kufuru kunakhofiwa kumwingiza yule mwenye kufanya hivo ndani ya kufuru. Je, hivi kweli wewe unaridhia kufanywe sherehe za kufuru na wewe ukashirikiana nazo? Hakuna muislamu yeyote anayeridhia hili. Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah), ambaye ni mwanafunzi kigogo wa Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah, amesema:
“Yule mwenye kushirikiana na watu hawa katika sikukuu zao, akawapongeza kwazo, ikiwa hakufanya kufuru, basi angalau kwa uchache amefanya tendo la haramu. Hili halina shaka yoyote.”
Amesema kweli (Rahimahu Allaah). Kwa ajili hiyo ni wajibu kwetu kuwatahadharisha ndugu zetu waislamu kushirikiana na makafiri katika sikukuu zao. Kwa sababu kushirikiana nao katika sikukuu zao, kuwapongeza kwazo, kwa mfano kusema “Sikukuu njem!”, “Allaah akupongezeni kwa sikukuu!” na mfano wa maneno kama hayo, hakuna shaka yoyote juu ya kwamba ni kuridhia desturi za kufuru – tunaomba kinga kwa Allaah.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/356-357)
Imechapishwa: 08/01/2025
https://firqatunnajia.com/ni-wajibu-kuwatahadharisha-ndugu-zetu-na-sikukuu-za-makafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)