Swali: Kipindi cha mwisho kumekithiri wazushi na wamekuwa na jawlah nyingi, je una nasaha yoyote katika mlango huu?
Jibu: Kuwalingania watu hawa na kutahadharisha dhidi ya mfumo wao. Mwenye kujua mfumo wa watu hawa na ni mwandishi, abainishe ´Aqiydah ya watu hawa na mfumo wao. Huu ndio wajibu wetu.
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/catplay.php?catsmktba=355
- Imechapishwa: 03/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket