Ni wajibu kutahadharisha dhidi ya mfumo wa Jamaa´at-ut-Tabliygh

Swali: Kipindi cha mwisho kumekithiri wazushi na wamekuwa na jawlah nyingi, je una nasaha yoyote katika mlango huu?

Jibu: Kuwalingania watu hawa na kutahadharisha dhidi ya mfumo wao. Mwenye kujua mfumo wa watu hawa na ni mwandishi, abainishe ´Aqiydah ya watu hawa na mfumo wao. Huu ndio wajibu wetu.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/catplay.php?catsmktba=355
  • Imechapishwa: 03/09/2020