Swali:  Yapi maoni yako au maoni ya Kishari´ah kuhusiana na al-Ikhwaan al-Muslimuun, je, ni katika makundi potofu au hapana?

Jibu: Kwa kweli Shaykh Ibn Baaz na wengine wanaona kuwa ni wapotofu, na huu ndio ukweli. Je, kwani wao wako kwa yale aliyokuwemo Mtume na Maswahabah zake? Wamejigawa makundi sabini, humo kuna kila mtu. Na Salafiy akiingia humo amekwenda na maji na kupotea. Hivyo, ni katika kipote potofu. Aliulizwa Shaykh Ibn Baaz kuhusu Jamaa´at-ut-Tabliygh, akasemasio katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Ni katika vipote. Na kanda hiyo ipo kwa maneno sauti ya Shaykh Ibn Baaz muutafute mtaipata kwa sauti yake[1].

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-jamaaat-ut-tabliygh-na-al-ikhwaan-al-muslimuun-ni-katika-makundi-72-ya-motoni/ 

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com