Swali: Swalah ya jeneza ni wajibu iswaliwe kwa mkusanyiko kama zile swalah tano?

Jibu: Sio wajibu kuswali kwa pamoja wakati wa kumswalia maiti. Lakini kama ilivyotangulia ndio bora zaidi. Kadri jinsi idadi ya waswalaji ni kubwa ndio jinsi matumaini ya kukubaliwa msamaha yanakuwa makubwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/118)
  • Imechapishwa: 07/09/2021