Swali: Ni upi uchi wa mwanamke ndani ya swalah?
Jibu: Kutokana na kwamba sina andiko la kukata kabisa la kugemea kuhusu suala hili, basi siwezi kuthibitisha chochote. Hapa nami nafuata kibubusa. Kinachotambulika kwa Hanaabilah ni kwamba ni lazima kwa mwanamke muungwana na ambaye kishabaleghe kufunika mwili mzima isipokuwa uso wake tu. Maoni sahihi ni kwamba mikono na miguu sio uchi. Na kama bado hajabaleghe, wanaona kuwa hakuna anachowajibika kufunika isipokuwa yaliyo baina ya kitovu na magoti. Kama nilivyosema sijathibitisha wala kufikia jambo la kwueza kukata moja kwa moja – na Allaah ndiye mjuzi zaidi.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/295)
- Imechapishwa: 03/05/2026
Swali: Ni upi uchi wa mwanamke ndani ya swalah?
Jibu: Kutokana na kwamba sina andiko la kukata kabisa la kugemea kuhusu suala hili, basi siwezi kuthibitisha chochote. Hapa nami nafuata kibubusa. Kinachotambulika kwa Hanaabilah ni kwamba ni lazima kwa mwanamke muungwana na ambaye kishabaleghe kufunika mwili mzima isipokuwa uso wake tu. Maoni sahihi ni kwamba mikono na miguu sio uchi. Na kama bado hajabaleghe, wanaona kuwa hakuna anachowajibika kufunika isipokuwa yaliyo baina ya kitovu na magoti. Kama nilivyosema sijathibitisha wala kufikia jambo la kwueza kukata moja kwa moja – na Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/295)
Imechapishwa: 03/05/2026
https://firqatunnajia.com/ni-upi-uchi-wa-mwanamke-ndani-ya-swalah/