Swali: Ni upi muda mchache kabisa wa I´tikaaf?
Jibu: Hakuna mpaka maalum. Hakuna mpaka wa uchache wala wa wingi wake. Haikuthibiti katika Shari´ah kuiweka kikomo.
Swali: Wako wanaosema kwamba ni saa moja?
Jibu: Hakuna dalili. Je, hakuna kitambo cha chini ya saa? Waliosema hivo walichomaanisha ni kupigia mfano.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
- Imechapishwa: 23/04/2023