Ni upi msimamo wako kwa maamrisho haya?

Swali: Ni vipi ataraddiwa ambaye anaona kuwa kufuga ndevu sio wajibu?

Jibu: Araddiwe kwa maamrisho. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Punguzeni masharubu na refusheni ndevu.”

“Ziacheni.”

“Fugeni.”

Ni upi msimamo wake kwa maamrisho haya?

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 11/08/2018