Swali: Kuwaomba uokozi wafu ni shirki au Bid´ah?

Jibu: Ni shirki kubwa. Kuwaomba msaada wafu ni katika shirki kubwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23976/حكم-الاستغاثة-بالاموات
  • Imechapishwa: 17/08/2024