Kiarabu lugha ya watu wa Peponi?

Swali: Je, imethibiti kuwa kiarabu ndio lugha ya watu wa Peponi?

Jibu: Ni jambo limetangaa. Udhahiri wa Hadiyth ni kwamba ndio lugha yao. Udhahiri wa Hadiyth zilizisimuliwa ni kwamba watawasiliana kwa kiarabu. Hata hivyo haikupokelewa katika Hadiyth Swahiyh kwamba watawasiliana kwa lugha ya kiarabu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23974/هل-اللغة-العربية-لغة-اهل-الجنة
  • Imechapishwa: 09/08/2024