Swali: Kuna vijana wengi huku kwetu wanamtukana Shaykh na ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy kwa sababu amemraddi Dr. Hamzah al-Miliybaariy, Sayyid Qutwub na watu wengine. Unawanasihi vipi vijana hawa?
JIbu: Ni vizuri Shaykh Rabiy´ kuraddi makosa ya Sayyid Qutwub. Hali kadhalika al-Miliybaariy. Amezungumzia masuala haya ndipo akamraddi. Ni jambo zuri. Lililo la wajibu ni kufuata haki na kutokuwa na ushabiki kwa mtu yeyote.
Swali: Unawanasihi vipi vijana wanaomtukana?
Jibu: Ni kama tulivyosema, aliyoandika kuhusu Sayyid Qutwub na Hamzah al-Miliybaariy, ni sahihi.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=155136
- Imechapishwa: 28/07/2020
Swali: Kuna vijana wengi huku kwetu wanamtukana Shaykh na ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy kwa sababu amemraddi Dr. Hamzah al-Miliybaariy, Sayyid Qutwub na watu wengine. Unawanasihi vipi vijana hawa?
JIbu: Ni vizuri Shaykh Rabiy´ kuraddi makosa ya Sayyid Qutwub. Hali kadhalika al-Miliybaariy. Amezungumzia masuala haya ndipo akamraddi. Ni jambo zuri. Lililo la wajibu ni kufuata haki na kutokuwa na ushabiki kwa mtu yeyote.
Swali: Unawanasihi vipi vijana wanaomtukana?
Jibu: Ni kama tulivyosema, aliyoandika kuhusu Sayyid Qutwub na Hamzah al-Miliybaariy, ni sahihi.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=155136
Imechapishwa: 28/07/2020
https://firqatunnajia.com/ni-sahihi-kumraddi-sayyid-qutwub-na-al-miliybaariy/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)