Swali: Kuna vijana wengi huku kwetu wanamtukana Shaykh na ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy kwa sababu amemraddi Dr. Hamzah al-Miliybaariy, Sayyid Qutwub na watu wengine. Unawanasihi vipi vijana hawa?

JIbu: Ni vizuri Shaykh Rabiy´ kuraddi makosa ya Sayyid Qutwub. Hali kadhalika al-Miliybaariy. Amezungumzia masuala haya ndipo akamraddi. Ni jambo zuri. Lililo la wajibu ni kufuata haki na kutokuwa na ushabiki kwa mtu yeyote.

Swali: Unawanasihi vipi vijana wanaomtukana?

Jibu: Ni kama tulivyosema, aliyoandika kuhusu Sayyid Qutwub na Hamzah al-Miliybaariy, ni sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=155136
  • Imechapishwa: 28/07/2020