Swali: Je, unashauri mtu kutazama na kuchuma faida ya vipindi vya TV ambapo Shiy´ah wanajadiliana na Ahl-us-Sunnah?

Jibu: Ni nani anayejadiliana nao? Ni wanachuoni? Au ni wenye hamasa tu juu ya dini lakini hawana elimu? Kisha baadaye wanakuja kuwashinda. Hili ndio tatizo. Ikiwa ni wanachuoni tu ndio wanaojadiliana nao, ni vizuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015