Swali: Baadhi ya wanafunzi wanasema kuwa masuala ya ´Aqiydah ni kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah peke yake na hakuna tofauti isipokuwa tu pale Maswahabah watapotofautiana katika mambo hayo. Je, uvuaji wake huu ni sahihi?

Jibu: Ni nani aliyesema maneno haya? Nambie ni nani aliyesema hivi? Leo hii wanasema maneno kutoka katika nafsi zao wenyewe ambayo hakuna aliyewatangulia kwayo. Atuletee nukuu kutoka kwa Salaf kwamba wamesema maneno kama haya. Ama yeye mwenyewe tu kujiletea maneno yake au kutoka kwa watu mfano wake hayazingatiwi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (09) http://alfawzan.af.org.sa/node/2127
  • Imechapishwa: 05/07/2020