Maana ya kwamba kumuomba maiti du´aa ni Bid´ah

Swali: Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema, kama ilivyo katika Majmuu´-ul-Fataawaa, ya kwamba mtu kumuomba maiti amuombee kwa Allaah ni katika Bid´ah. Je, ni kama…

Jibu: Hii ni Bid´ah ya kishirki. Ni kweli kwamba ni Bid´ah lakini hata hivyo ni Bid´ah ya kishirki. Usifahamu kuwa ni Bid´ah kwa njia ya uharamu peke yake. Bali ni Bid´ah ya kishirki. Shirki pia inaitwa kuwa ni Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (09) http://alfawzan.af.org.sa/node/2127
  • Imechapishwa: 05/07/2020