Maamuma wanataka wasomewe historia ya Mtume siku ya Maulidi

Swali: Mimi ni imamu wa msikiti na maamuma msikitini wameniomba niwasomee historia ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) Jumatatu inayokuja tarehe 12 Rabiy´ al-Awwal.

Jibu: Hapana, usifanye hivo. Usifanye hivo kabisa siku ya jumatatu. Wanataka ufanye hivo kwa sababu ni siku ya Jumatatu ambayo imeafikiana na tarehe 12 Rabiy´ al-Awwal ambapo kunafanywa Bid´ah. Usiwasomee na wala usiwaitikie ombi lao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2125
  • Imechapishwa: 05/07/2020