Swali: Baadhi ya vijana leo ni wakinaifu kuwakufurisha waislamu. Ni ipi sababu ya upindaji huu?
Jibu: Ni mfumo wa Khawaarij. Ambaye yuko na fikira kama hizi ni Khawaarij na sio Ahl-us-Sunnah. Ni wajibu kutahadhari naye.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 17/07/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)