Swali: Hivi sasa matokeo ya maandamano na mauaji yamekuwa wazi. Ni nani atakayeulizwa juu ya yote haya? Wataulizwa wale walioita katika mgomo na msimu wa kiarabu?

Jibu: Ndio. Wataulizwa wale waliowaita na kuwadanganya katika hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 08/07/2018